Sarri akiri kuifunga City kwa bahati
Kufuatia ushindi wa Chelsea wa mabao 2-0 dhidi ya timuya Manchester City katika uwanja wa Stamford Bridge wengi walishtushwa na matokeo hayo kutokana nakutotarajia kama Chelsea ndio timu itakayowezakuisimamisha Manchester City katika Ligi KuuUingereza.
Manchester City ni Mabingwa watetezi wa Ligi KuuUingereza lakini pia wamekuwa na msimu mzuri msimuhuu kiasi cha wengi kuwatabiria kuwa wanawezawakatwaa tena taji la pili la Ligi Kuu Uingereza msimuwa 2018/19, hata hivyo baada ya ushindi huo kocha waChelsea aliongea.
Baada ya ushinfdi huo uliopatikana kwa mabao safi yaNgolo Kate dakika ya 44 na David Luiz dakika ya 78, unawasaidia kuvuna alama tatu lakini kocha waoMaurizio Sarri amezungumza kuwa Chelsea ilikuwa tuna bahati kuifunga Manchester City kwani alikuwaanajua kuwa timu hiyo ipo vizuri.
“Tumeshinda leo lakini naweza kusema tulikuwa nabahati kidogo kwa dakika 25 za kwanza, Manchester City wangeweza kutufunga” alisema Maurizio Sarrikuhusu ushindi dhidi ya Manchester City ambaowalikuwa hawajapoteza mchezo katika mechi 21 tokamsimu uliopita.