WALKER KUPIGWA FAINI KWA KUFANYA PART YA NGONO
Staa wa Man City Kyle Walker alivunja sheria za Lockdown huko Uingereza baada ya kufanya sherehe ya ngono akiwa na rafiki yake pamoja na wasichana wawili wanaojiuza wiki iliyopita
Moja ya wasichana hao wamesema beki huyo aliwaalika kwa ajili kufanya mapenzi kwa saa tatu——siku moja kabla ya mchezaji huyo kutoa ushauri kwa mashabiki kuhusu kukaa nyumbani katika kipindi hiki cha janga la Corona.
Walker,ambaye aliomba msamaha jana usiku kwa kosa hilo—sasa anaweza kupigwa faini na klabu yake kwa kudharau miongozo ya afya.
Walker aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu Annie Kilner mapema mwaka huu baada ya kugundulika alimpa mimba mwanamitindo Lauryn Goodman.
Walker alifanya sherehe hiyo na mwanadada anayejulikana kwa jina la Louise McNamara,21, na mwingine Mbrazil mwenye miaka 24.
Wadada hao walialikwa katika nyumba ya mchezaji huyo huko Hale, Cheshire mjini Manchester.
Louise McNamara na mwanadada huyo Mbrazil walifika katika nyumba ya mchezaji huyo na kufanya kilichowapeleka na kuondoka mida ya saa nane usiku siku ya Jumatano