DR WA STADE DE REIMS AJIUA KISA CORONA
Klabu ya Stade de Reims ya nchini Ufaransa imetangaza kifo cha Dr Bernard Gonzalez ,60, ambaye amefariki kwa kujiua.
Gonzalez ambaye alikuwa ni Dr wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Ufaransa, alijiua baada ya kujia kuwa ameambukizwa virusi vya corona.
Hadi kufikia leo April 6 2020 kwa taifa la Ufaransa pekee lina jumla ya wagonjwa 92,839 ikiwa ni nchi ya tano kwa kuwa na wagonjwa wengi wa corona na vifo vikiwa 8078.