MAAZIMIO MANNE YA BODI YA LIGI, BAADA YA SERIKALI KUSIMAMISHA MICHEZO
Bodi ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi (TPLB) imetangaza maazimio manne baada ya Serikali kusimamisha shughuli za michezo nchini.
– Kusimamisha ligi zilizo chini yake.
– Kuwapima wachezaji pindi ligi itakapoendelea tena.
– Ligi kuchezwa bila mashabiki baada ya siku 30.
– Kukamilisha ligi mwezi Juni.