RUFAA YA MAN CITY YAPOKELEWA CAS
Mahakama ya usuluhishi ya michezo (CAS) imepokea rufaa waliyokata Man City kupinga kifungo cha kushiriki michuano ya Ulaya kwa misimu miwili walichopewa na UEFA kwa kudaiwa kuvunja sheria ya matumizi ya fedha “Financial Fair Play”