MECHI YA YANGA NA GWAMBINA YAAMISHWA UWANJA
Klabu ya soka ya Yanga imetangaza mabadiliko ya mchezo wao wa 16 bora wa Kombe la ASFC dhidiya Gwambina kuwa umebadilishwa uwanja.
Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa uwanja wa Taifa saa 1:00 usiku lakini kwa sasa umebadilishiwa uwanja utachezwa uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.
Mabadiliko hayo yote yanatokana na uwanja wa Taifa kuwa katika matengenezo madogo madogo na hauwezi kutumika