SOFIA KENIN AWEKA HISTORIA AUSTRALIAN OPEN
Mmarekani Sofia Kenin ameshinda ubingwa wa Australian Open 2020 baada ya kushinda mchezo wa fainali dhidi ya Mhispania Garbine Muguruza kwa seti 4-6,6-2,6-2.