INFANTINO AWASHAURI CAF, AFCON ICHEZWE KILA BAADA YA MIAKA MINNE
Rais wa shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani Gianni Infantino weekend iliyopita akiwa Rabat nchini Morocco katika mkutano wa CAF ameshauri kufanyiwe maboreshi ya michuano ya AFCON
“Kitu ninachowaomba ni maamuzi yenu kujadili ni kuwa michuano ya mataifa huru ya Afrika (AFCON) ifanyike kila baada ya miaka minne”
“AFCON imechezwa mara 20 zaidi kuliko Euro, kuwa na AFCON kila baada ya miaka miwili ni nzuri katika level ya kibiashara? inaendeleza miundombinu? fikirieni kuhusu kuifanya kila baada ya miaka minne”