MICHO KOCHA MPYA ZAMBIA
Chama cha soka nchini Zambia (FAZ) kimemtambulisha kocha wa zamani wa Yanga na timu ya taifa ya Uganda Milutin Sredojevic Micho kuwa kocha wao mpya wa timu ya taifa ya Zambia “Chipolopolo” kwa mkataba wa miaka miwili.