JKT YAIPA KICHAPO SIMBA
Simba leo wamecheza uwanja wa Uhuru dhidi ya JKT Tanzania na kupoteza kwa kufungwa 1-0, goli la JKT Tanzania likiwekwa wavuni na Adam Adam dakika ya 27.
Hii inakuwa ni mechi ya pili kwa Simba SC kupoteza katika msimu wa 2019/20, baada ya kipigo hicho mashabiki wa Simba wamepaza sauti kuwa hawamtaki kocha Sven Vanderbroeck