MANCHESTER UNITED SASA WAGEUKUA KWA IVAN RAKITIC
Klabu ya Manchester United imejulishwa juu ya kumsajili kiungo wa Barcelona Ivan Rakitic. Klabu hii inayotafuta njia ya kukionngezea nguvu kikosi cha kocha kutokana na kuumia kwa Paul Pogba ba Scott McTominay.
Taarifa hii inakuja huku Racktic, 31, mwenye mkataba na Barcelona mpaka mwaka 2021 akiwa anapendelea kuendelea bakia Hispania na wakati huo huo klabu ya Manchester ikiwa inaendelea na mipango yao ya kusajili baada ya msimu. (ESPN)