ULIMWENGU AREJEA MAZEMBE
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kumrudisha Thomas Ulimwengu katika timu yao.
Ulimwengu ,27, amesaini mkataba wa miaka miwili kurejea TP Mazembe ambapo anarejea baada ya miaka minne kupita toka aondoke 2016.
Safari ya Ulimwengu kwenda kujaribu kucheza soka la kulipwa Ulaya haikuwa nzuri licha ya kujaribu kucheza AFC Eskilstuna ya Sweden