DEMBELE KUWA NJE KWA WIKI TANO
FC Barcelona wamethibitisha kuwa Ousmane Dembele atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tano kwa kuwa na maumivu ya misuli ya paja.
Dembele ataungana na Lionel Messi pamoja na Luis Suarez ambao wote wapo nje ya uwanja kutokana na majeraha.