MURRY AFUNGWA NA KAKA YAKE KWENYE CINCINNATI MASTERS
Jamie Murray na Neal Skupski wamewafunga Andy Murray na Felliciano Lopez kwa seti 6 – 7 (5 – 7), 7 -5, 10 – 4 katika mechi ya double. Jamie na Skupski sasa watakutana na Ivan Dodig na Filp Polasek kwenye nusu fainali.
Andy Murry sasa anajipanga cheza ATP wiki ijayo Wiston Salem kabla ya kufikiria kushiriki Challenger Tour wakati wa US Open.