NADAL ATINGA NUSU FAINALI ROGERS CUP
Bingwa mtetezi na mchezaji namba mbili kwa ubora duniani kwa upande wa wanaume Rafael Nadal, ametinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Rogers Cup.
Nyota huyu anayetazamia kuchukua ubingwa huu kwa mara ya tano, ameingia hatua hii kwa kumfunga Muitaliano Fabio Fognini kwa seti 2-6, 6-1, 6-2