Lukaku aondoka Man United
Mshambuliaji Romelu Lukaku amesajiliwa na Inter Milan kwa ada ya Pauni Milioni 73 akitokea Man United
Lukaku alijiunga na Man United mwaka 2017 akitokea Everton kwa ada ya Pauni Milioni 75.