Welbeck asajiliwa Watford baada ya kuachwa Arsenal
Mshambuliaji Danny Welbeck amesajiliwa na klabu ya Watford akiwa mchezaji huru baada ya kuachwa na Arsenal
Muingereza huyo,28, ambaye ni mzaliwa wa Manchester, alijiunga na Arsenal mwaka 2014 akitokea Man United ambapo alicheza kwa miaka 6