Arsenal yamuuza nahodha wao
Arsenal imekubali kumuuza beki wao Laurent Koscienly,33,kwenda katika klabu ya Bordeaux ya France kwa ada ya Euro Milioni 5.
Mfaransa huyo alijiunga na Arsenal mwaka 2010 akitokea klabu ya Laurent na anaondoka katika timu hiyo akiwa nahodha wao.