Zahera arudi Yanga
Kocha mkuu wa Klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amerejea nchini Tanzania na tayari ameshajiunga na kikosi chake kilichoweka kambi mjini Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
.