De Ligt atua rasmi Juventus
Klabu ya Juventus leo wametangaza rasmi kumsajili beki wa kati Matthijs de Ligt kutoka Ajax kwa ada inayoripotiwa kuwa Pauni Milioni 67.5 sawa na Tsh Bilioni 193.
Mholanzi huyo,19, amesaini mkataba wa miaka mitano