Trippier atua Atletico Madrid
Atletico Madrid wametangaza kumsajili beki Muingereza Kieran Trippier kutoka Tottenham kwa ada ya Pauni milioni 21.7
Trippier,28, anakuwa ni Muingereza wa kwanza kuichezea Atletico Madrid ndani ya miaka 95.