Ozil atoboa siri ya kupaka rangi nywele
Baada ya kuonekana amepaka rangi nywele zake, nyota Mesut Ozil ameeleza sababu iliyofanya afanye hivyo.
Kiungo huyo amesema alipoteza bet ya kugongesha mwamba (crossbar challenge) dhidi ya mchezaji mwenzake wa Arsenal Alexandre Lacazette hivyo ikambidi atimize ahadi.