Thomas Ulimwengu avunja mkataba na Al Hilal
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Thomas Ulimwengu ameripotiwa kuvunja mkataba na klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan aliyoitumikia kwa miezi isiyozidi mitatu.
Sababu za kufanya maamuzi bado hazijawekwa wazi.