Crouch atundika daruka
Mchezaji wa zamani wa klabu za Liverpool,Tottenham Peter Crouch ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 38.
Msimu uliopita Muingereza huyo alikuwa akiicheza klabu ya Burnley