Man City wawatafuta ubaya Man United
Manchester City wamenunua haki ya kuweka bango kubwa la tangazo nje ya uwanja wa Man United Old Trafford kwa ajili ya kutangaza jezi zao mpya.
Manchester City na Manchester United ni timu mbili ambazo ni mahasimu wakuwa, zote zikitokea katika mji wa Manchester huko nchini England