Simba yaiba kifaa kingine cha Yanga
Beki wa kushoto Gadiel Michael amejiunga na Simba SC kutoka Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.
Kabla ya beki huyo, Simba ilishawasajili wachezaji wengine wawili kutoka Yanga ambao ni kipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Ibrahim Ajib