Mbrazil mwingine atua Simba
Klabu ya Simba SC imemsajili beki Tairone Santos da Silva raia wa Brazil kwa mkataba wa miaka miwili.

Da silva,30, amejiunga na klabu hiyo akitokea Atlético Cearense FC ya nchini Brazil.