Wabunge 35 warudi Tanzania kutoka Misri
Baadhi ya wabunge waliokuwa wameenda nchini Misri kwenda kutoa hamasa kwa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wamerejea nchini leo hii kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.
Msafara huo umeongozwa na Spika wa Bunge la jamuhuri la Tanzania Job Ndugai pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Sport Club William Ngeleja.
Pia Mwenyekiti Ngeleja amesema kuwa Wabunge wote waliosafiri kwenda nchini Misri kutoa hamasa kwa Taifa Stars,wamesafiri kwa pesa zao na si pesa za Serikali.
.
.
( 📸 @azamtvtz )