Simba yaleta kifaa kingine kutoka Brazil
Simba SC inaendelea kutangaza usajili wake, leo wametangeza kumsajili mshambuliaji Mbrazil Wilker Henrique da Silva kutoka klabu ya Bragantino ya inayoshiriki ligi ya Serie D ya nchini Brazil.
Wilker mwenye umri wa miaka 23,amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili.