Hummels arejea Dortmund
Beki wa kati Mjerumani Mats Hummels amerejea katika klabu ya Borussia Dortmund akitokea Bayern Munich alipotumikia kwa muda wa miaka mitatu.
Hummels,30, anarejea BVB kwa usajili wa ada inayoripotiwa kuwa euro milioni 38,