Azam FC yashusha kifaa kutoka Mbeya City
Azam FC imekamilisha usajili wa winga Idd Seleman ‘Nado’ kutoka Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili.
Huu ni usajili wa kwanza wa Azam FC kwa kipindi hiki cha usajili