Nyoni amwaga wino Simba
Beki wa klabu ya Simba SC Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumiki hiyo
Nyoni amejiunga na Simba mwaka 2017 baada ya kumaliza mkataba wake na Klabu ya Azam