Bocco azidi kujitia kitanzi Simba
Klabu ya Simba imetangaza kuwa mshambuliaji wao John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo.
Bocco alijiunga na Simba mwaka 2017 akitokea Azam FC aliyoicheza kwa zaidi ya miaka 10.