Samatta athibitisha kuondoka Genk
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta katika mahojiano na Azam TV amethibitisha kuwa yupo mbioni kuondoka katika Klabu ya Genk ambayo ameanza kuitumikia tangu mwaka 2016.
Samatta ameeleza shauku yake ya kucheza ligi kuu nchini England huku akisema kuwa anaweza kuchukua nafasi ya Romelu Lukaku Manchester United.
.