Allegri aagana na Juventus
Klabu ya Juventus imethibitisha kocha wao Massimiliano Allegri ataondoka katika timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika.
Katika misimu mitano aliyoitumikia timu hiyo ameiwezesha kushinda makombe 11
.
🏆 5x Serie A
🏆 4x Coppa Italia
🏆 2x Supercoppa Italiana