Bocco ashinda tuzo nyingine ligi kuu
Mshambuliaji wa timu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi April ligi kuu Tanzania Bara akiwashinda Emmanuel Okwi na Heritier Makambo wa Yanga
Hii ni mara pili mfululizo John Bocco anachukua tuzo hiyo .