Guardiola azidi kutamba England
Kocha wa Man City Pep Guardiola ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi April katika ligi kuu nchini England.
Hii ni mara ya pili anashinda tuzo hiyo ndani ya miezi mitatu.
Kocha huyo ambaye anaongoza ligi ikiwa imebaki mechi moja tu, anashinda tuzo hiyo ya mwezi kwa mara ya saba sasa tangu ajiunge na ligi hiyo.