Alvarez abeba ubingwa wa Unified Middleweight Title
Bondia wa Mexico Canelo Alvarez ameshinda Unified Middleweight title baada ya kushinda kwa ‘unanimous decision’ pambano lake dhidi ya Danny Jacobs lililopigwa leo T Mobile Arena Las Vegas ,Nevada,USA
Majaji wote watatu wamempa Canelo Pointi 115-113, 115-113, 116-112 na hivyo kuibuka mshindi dhidi ya Mmarekani Danny Jacobs