Ajax wavunja utawala wa Ronaldo Ulaya
Timu ya Juventus ya nchini Italia imeaga rasmimashindanoa ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo kuondolewa katika michuano hiyo huku ikiendelea katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.
Cristiano Ronaldo imezimwa ndoto yake ya kulindarekodi yake nzuri baada ya timu yake kutolewa katikamashindano hayo kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo kuondokewa katika mashindano hayo kwa ushindi waAjax wa jumla ya mabao 3-2.
Tukukumbushe tu toka Cristiano Ronaldo aikose nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2010, kabla yakupoteza mchezo wa leo alikuwa amecheza jumla yamichezo 104, ameshinda michezo 71, magoli 104, pasiza usaidizi wa magoli jumla ya 28 huku akifanikiwa kushinda mataji manne ya UEFA Champions League Ila kwa sasa rekodi yake imeharibika.