Tiger Woods afanya Comeback ya Kihistoria
Gwiji, Mkongwe wa Golf Tiger Woods jana ameshinda ubingwa wa mashindano ya Masters 2019, na kuwa ni kombe lake la kwanza kubwa kushinda baada ya miaka 11.
Hii imetajwa kuwa moja ya comeback bora katika historia ya michezo kufuatia Mmarekani huyo,43,kupitia changamoto nyingi ikiwamo kufanyajiwa upasuaji wa mgongo mara nne.