Pierre aendelea kubaki kileleni
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ampatia nafasi Peter Mollel maarufu kama Pierre Liquid ya kuambatana na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ kwenda nchini Misri kwenye michuano ya AFCON 2019.
Waziri mkuu ametoa ahadi hiyo leo April 3 asubuhi katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma .