Mayanga aziba nafasi ya Ally Bushiri Mbao FC
Zikiwa zimepita siku chache tangu Ally Bushiri atimuliwe Mbao FC, timu hiyo imemtangaza kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Salum Mayanga kuchukua nafasi hiyo.
Mbao FC sasa wanashika nafasi ya 14 katika msimamo wa ligi kuu wakiwa na pointi 36.