Ngoma aongeza kandarasi Azam
Mshambuliaji wa Klabu ya Azam ambae ni raia wa Zimbabwe Donald Ngoma,aliekuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja uliomalizika siku za hivi karibuni,mchezaji huyo baada ya mazungumzo na uongozi wa Klabu yake ya Azam FC ameongeza mkataba mwingine wa mwaka mmoja wa kuitumikia Klabu hiyo.