Zidane Kurejea Real Madrid
Imeripotiwa kuwa Uongozi wa Real Madrid umefikia muafaka na Kocha Zinedine Zidane kwa yeye kupatiwa mkataba wa muda wa kukinoa kikosi cha Real Madrid kwa muda mpaka mwisho wa msimu huu.