Tadic abeba tuzo Klabu Bingwa Ulaya
Mshambuliaji wa Ajax Dusan Tadic amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki Klabu Bingwa Ulaya.
Kwenye mchezo wa marudiano 16 Bora dhidi ya Real Madrid jumanne hii alifunga goli moja na kutoa Assist 2
Tadic aliiwezesha timu yake kuondoka na ushindi wa goli 4-1 kwenye mchezo huo na kufanya wafuzu hatua ya robo fainali kwa jumla ya goli 5-3.