Manara awataka Yanga tena
“Mimi nataka turudiane na Yanga tena kwao pale Kaunda tuone kama hatuta wafunga tena, Kocha Zahera na msemaji wake waache maneno maneno wanatafuta tu huruma kwa mashabiki wao”
Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara akiongea na kituo cha Redio cha EFM baada ya kumfunga mtani wake goli 1-0 februari 16 mwaka huu.