Zlatan afafanua kauli yake kuhusu CR7
Baada ya nyota wa kireno Cristiano Ronaldo kuamuakujiunga na klabu ya Juventus ya nchini Italia akitokeaReal Madrid ya Hispania mwaka 2018, alitumia vyombovya habari kumpa changamoto mchezaji mwenzake nampinzani wake Lionel Messi wa FC Barcelona kuwaaende akatafute changamoto mpyaa.
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United ZlatanIbrahimovic aliamua kumtetea Lionel Messi kwakumwambia sio kuhama ndio kwenda kupatachangamoto mpya, huku akisema kuwa kama Ronaldo alikuwa anataka kwenda kutafuta changamoto mpyaasingeenda kucheza Juventus timu ambayo ina uhakiksawa kuchukua Serie A bali angeenda daraja la kwanza nakupanda nayo na kuipa taji.
Leo Zlatan ameweka wazi tena kuhusiana na kauli yakeambapo kuna wengine walikuwa wanainukuu vibayakama amemsema Cristiano Ronaldo ana ndipo alipoamuakulitolea ufafanuzi “Sikuwa nimesema kwambauhamisho wake haukuwa mzuri nilisema kwamba siochangamoto mpya kwa (Ronaldo) kwenda Juventus.