Familia ya Rubani wa Emiliano Sala haijaridhika
Familia ya rubani David Ibbotson aliyepata ajali akiwaanendesha ndege ndogo akiwa pamoja na mshambujimpya wa Cardiff City aliyepoteza maisha katika ajalihiyo Emiliano Sala, familia ya rubani huyo imeanzakuchangisha pesa kwa ajili ya kuendeleza zoezi la kumtafuta ndugu yao.
Kutokana na utafutaji kufanyika na kupatikana kwamwili mmoja wa Emiliano Sala na ndege hiyo kutolewabaharini, David Ibbotson anayehofiwa kufa katika ajalihiyo bado hajapatikana, hivyo inadaiwa kama zoezilimekatishwa baada ya kumtafuta bila mafanikio lakinifamilia bado haijaridhika.
Familioni ya rubani huyo kwa sasa imechangisha zaidiya pauni 63000 lakini lengo lao ni kuchangisha pesa hadizifikie pauni 300000 ili waendelee na zoezi la utafutajiwa ndugu yao ambaye alipotea na ndege Januari 21 kablaya wiki mbili baadae kugundulikwa kuwa walipata ajalina Emiliano Sala wakiwa angani kurejea Cardiff baadaya Emiliano Sala kumaliza kuwaaga wachezaji wenzake.
Emiliano Sala siku mbili kabla ya kupata ajali akiwa narubani wake David Ibbotson, alikuwa amesaini kandarasiya miaka mitatu ya kuitumikia Cardiff City akitokeaNantes FC kwa uhamisho wa rekodi kwa klabu yaCardiff City wa pauni milioni 15.