Barcelona yapata pigo lingine
Timu ya FC Barcelona Februari 6 2019 ilikuwa katikahati hati ya kumkosa nyota wake Lionel Messi katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Cop Der Rey iliyokuwa inazikutanisha timu za Barcelona dhidi yaReal Madrid.
Lionel Messi ambaye aliumiwa nyama za paja katikamchezo huo alipata nafasi ya kuingia kutoka benchi dakika ya 63, mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1 Messi, baada Barcelona kufanikiwa kumtibu Messi kwaharaka na kucheza mchezo wa EL Clasico, wamepatapigo jingine watamkosa nyota wao Arthur Melo.
Nyota huyo wa Barcelona anayetokea Brazil anaripotiwakuwa atakuwa nje ya uwanja kwa takribani mwezi mzima kutokana na kuwa na tatizo la (Hamstring) alilolipata katika mchezo huo wa nusu fainali ya Copa Der Rey dhidi ya Real Madrid, hili ni jeraha la pilianalolipata Arthur toka ajiunge na Barcelona katikadirisha la usajili lililopita la majira ya joto, Arthur aliumia kwa mara ya kwanza akiwa na Barcena mweziNovemba na kukaa nje ya uwanja kwa wiki mbili.