MBINU WALIYOKUWA WAMEITUMIA REAL MADRID KUPUNGUZA THAMANI YA EDEN HAZARD
Baada ya nyota wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa yaUbelgiji Eden Hazard kutangaza kuwa tayariameshafanya maamuzi ni timu gani atachezea msimuujao kama ni Chelsea au atahama, sasa inawezekanaakawa mbioni kwenda kujiunga na klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania ambao imekuwa ikimuwinda kwamuda mrefu sasa.
Eden Hazard ameshasema amefanya maamuzi lakinibado hajaweka wazi ni wapi anatazamiwa kwendakucheza soka, ile usiku huu zimeripotiwa taarifa kywaReal Madrid wapo mbioni kuandaa ofa yao, Real Madrid wameripotiwa kuwa waliandaa ofa ya pesa pamoja nakumtoa kati ya Asensio au Isco ili kupunguza dau.
Tunajua kuwa Eden Hazrd kwa sasa anajiandaa kumalizamkataba wake na Chelsea mwisho wa msimu nainawezekana akajiunga na Real Madrid ya nchiniHispania, Hazard ambaye alijiunga na Chelsea mwaka2012 akitokea klabu ya Lille ya nchini Ufaransa anatajwakuweka wazi mara kadhaa dhamira yake ya kwendakucheza soka Hispania.